Natafuta Paka

Natafuta Paka

Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe

Paka wangu kazaa vitoto bado vinanyonya
 
Kuna sumu fulani nimeisahau jina iko kama tambi za kutafunwa,ina rangi ya pink panya wanaipenda balaa ukiiweka ndani wanaitafuta wenyewe na kuila. Wakifa hawanuki.

Tahadhari: zipo feki
Hii niliitumia pia wakafa wote. Inauzwa buku tu halafu
 
Kuna sumu fulani nimeisahau jina iko kama tambi za kutafunwa,ina rangi ya pink panya wanaipenda balaa ukiiweka ndani wanaitafuta wenyewe na kuila. Wakifa hawanuki.

Tahadhari: zipo feki
Hiyo nayo ni hatarishi kwa nyumba yenye watoto wadogo, nilipata kuskia ilikatiza uhai wa mtoto huko maeneo ya mbagala, tahadhari kubwa inahitajika ktk kuitumia
 
Huyo hapo, nipe kilo 50 mkuu
c2dc91fe822f7c75589ba718a59a8138.jpg

Duh huyu usipompa msosi anaweza akakutafuna makende usiku. Ila mtoa mada si umetaka paka mwenye roho mbaya kamata chuma hicho
 
Hiyo nayo ni hatarishi kwa nyumba yenye watoto wadogo, nilipata kuskia ilikatiza uhai wa mtoto huko maeneo ya mbagala, tahadhari kubwa inahitajika ktk kuitumia
Yeah! Kwa watoto ni hatari maana inavutia kwa macho. Aiwekee hata uvunguni,panya wataifata wenyewe
 
Duh huyu usipompa msosi anaweza akakutafuna makende usiku. Ila mtoa mada si umetaka paka mwenye roho mbaya kamata chuma hicho
Duh! Inaelekea huyo paka ni kiboko ya matatizo
 
Ninao paka kabila hatari sana kuwinda panya. Na kula .wako tanga
 
Dawa yao ntaipata tu
dawa nyingine ya panya wawekee tochi kama kwenye store room, then vunja vioo vipande vipande aisee wote watakimbia maana watakuwa wakitazama wanajiona nusu nusu wanahama mji, ila wakifundua umewafanyia mchezo wanahama chumba huo mziki wake unaweza ukakuta namba ya vyeti vyako zimeliwa
 
Back
Top Bottom