Natafuta Paka

Natafuta Paka

dawa nyingine ya panya wawekee tochi kama kwenye store room, then vunja vioo vipande vipande aisee wote watakimbia maana watakuwa wakitazama wanajiona nusu nusu wanahama mji, ila wakifundua umewafanyia mchezo wanahama chumba huo mziki wake unaweza ukakuta namba ya vyeti vyako zimeliwa
[emoji23] [emoji23] wakigundua wanakukomesha na wewe kwa kuwatesa..
 
Kama vinatembea naomba
vipe atleast mwezi or so chini ya hapo ukiwatoa kwa mama yao wanakuwa prone to deseases kwaninkinga yao inakuwa ndogo kwa kukosa maziwa ya mama!
 
vipe atleast mwezi or so chini ya hapo ukiwatoa kwa mama yao wanakuwa prone to deseases kwaninkinga yao inakuwa ndogo kwa kukosa maziwa ya mama!
Maziwa ya ng'ombe hayawasaidii kwani
 
Mkuu nakushauri tafuta paka mikoani tu, maana paka wa Dar matatizo tupu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Huyo hapo, nipe kilo 50 mkuu
c2dc91fe822f7c75589ba718a59a8138.jpg
Mbona kma anamshangao hivi, au ulishamueleza kwamba unamuhamisha mji[emoji3][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16]
Ni tatizo.. Wanapiga route tu umu ndani.. Wameniharibia hadi subwoofer
 
dawa nyingine ya panya wawekee tochi kama kwenye store room, then vunja vioo vipande vipande aisee wote watakimbia maana watakuwa wakitazama wanajiona nusu nusu wanahama mji, ila wakifundua umewafanyia mchezo wanahama chumba huo mziki wake unaweza ukakuta namba ya vyeti vyako zimeliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi umekuwa burudani tosha kwangu!
 
Back
Top Bottom