Sudysmile
Member
- Jul 14, 2021
- 45
- 52
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .
Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kuvuta maji kuweka kwenye bwawa ni kubwa.
Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi.
Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .
Dm me for more info.