Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

Boss unaweza ukapita na hamsini zako nobody needs u here hauna jipya mimi ni mwizi wacha nishike masikio watu
We mwizi tafuta shughuli halali yakukuingizia kipato. Wana-JF nikiwa ni mzawa wa Nduruma nawataadharisha sana na huyu jizi.....
 
Kisima cha mita 70 -Tshs 1,800,000, inatoa 360 L/h
Kisima cha mita 80 -Tshs 5,000,000, inatoa 1800L/h
Kisima cha mita 120 - Tshs 6,500,000, inatoa 2100L/h

Bei hizo zina cover
-Dc submersible pump
-Charge Controllers
-Solar Panels
-Metal fabrication works
Accessories(rape, insulation kit, copper cable, PVC pipe)
-Installation service

Hebu njoo chenba tuzoze nahitaji kule Simanjiro
 
Mkuu fuatilia angalizo niliyotoa kwenye post zangu kule juu dhidi ya huyu jamaa! Hili lijamaa nili-"Kaka-Jambazi", location ambayo amesema ndipo project yake ilipo (Nduruma), ndio nyumbani kwetu, ila kiuhalisia pale kijijini kwetu (Nduruma) na vijiji vinavyotuzunguka (i.e Mlangarini, Maji moto, Marurani, Mzimuni,Lokii, Kigongoni,Kichangani,Bwawani,Mungushi etc) hakuna project kama hiyo anayoizungumzia! Nimetoa angalizo msijemkalizwa na hili litapeli......
 
Hy etc mwandate huoajui pako karibu na mungushiii? Mzee baba ukiwa umezaliwa huko sio kama ndo wajua kila sehem kama hupajui hamma anakulalamikia

Afu watu kuweni na mashiko mtu akiwa ni mwizi by this time nimesha achana na hii mambo ya kujaribu kuwaelekeze hyu jamaa anajifanya anajua kila kitu ila ni bogaz
 
We TAPELI usiendelee kuni-quote nshakuambia! Tafuta shughuli halali yakukuingizia kipato. Wana-JF nikiwa ni mzawa wa Nduruma naendelea kuwataadharisha sana na hili jizi.....
 
Mkuu Inatosha! Unaweza kumlazimisha ng'ombe kwenda mtoni ila huwezi kumlazimisha kunywa maji...

Wewe umetoa angalizo, tulia! Na usifikiri wote humu ni wajinga, mwenye uthubutu atafanya! Ujasiria mali ni RISK taking so watu wamejiandaa kwa yote!

Nanikuhakikishie hakuna mtu atamtumia hela huyu Mkuu bila Kufika kwenye mradi..

So ishia hapa, acha uzi uendelee, usiharibu uzi wa watu.
 
Sante sna boss katika watu wameandika kitu siku ya leo ww ni wa kwanza

Tokea mwanzo nimesema siuzi shamba kwahy kukutapel inakujaje

Mind set kama ya mgibeon ndo watu wanaotakiwa hao wameangalia na hatumi kitu mpk aone mradi

Ntu embu jifunze kutoka kwa jamaa

Wabongo kwa mitandao tuko vzr kwny kuchafua kitu cha mtu

Nimejaribu kua muungwana na kujaribu kuelekeza lakn ww kichwa kimebana

Narudia tena na tena mm sio mzawa wa huko kama ntu mm niwakuja nakaa arusha mjini shamba nafika na kunasehem ya kukaa so kuanza kujua kila mtaa kama jamaa naanzia wap

Nilijieleza kwa ufupi tu ukifika nduruma stand chukua boda boda waambie mwandeti unafikishwa
Hapo tena utasema mm mwizi kwamba nimepanga na boda boda wote wa nduruma?

Na mwizi mpk saa hii asingekua anaandika ningekua nimeanzisha topic nyingine ya kushika watu

Sante sna bro for ur support watu wngine sio waelewa nashukuru kwa kumuonesha kunaambao wanafikiria wnyw
 
Pole Mkuu! Dhahabu hupitia kwenye tanuru ili iwe Safi.
 
Watu tujifunze kua na kauli nzr tu

Wabongo wngi kwny social media tuna abuse sana uhutu wetu

Nilijitahid kua mngwana ila nikafika sehem nikachoka

Mm nimemaliza chuo toka mwaka 2019 naimeingia kwny kilimo ili kiweze kunitoa kiuchi kazi zimekua changamoto mishahara ni mibovuuu balaa

Miitaji ana prove ya shamba hata more pic nitatuma ni nyie tu
 
Yes.. now you are talking..
Unafuatilia, ukijiridhisha, ukaona utapata maslahi, unajitosa!
Yani mkuu nimeenda mpk nikaongea na mkuu wa wilaya huwezi amini mpk bashe nimemtafuta

Meneja uzur na yy alikua mkulima anaelewa hustle la kilimo na akaona anisaidie akaniambia ningekuja tokea 2020 ningekua nina umeme now

Ila naimani tutafika tu
 
Watu tujifunze kua na kauli nzr tu

Wabongo wngi kwny social media tuna abuse sana uhutu wetu

Nilijitahid kua mngwana ila nikafika sehem nikachoka

Mm nimemaliza chuo toka mwaka 2019 naimeingia kwny kilimo ili kiweze kunitoa kiuchi kazi zimekua changamoto mishahara ni mibovuuu balaa

Miitaji ana prove ya shamba hata more pic nitatuma ni nyie tu
Usijali, ni kawaida! Na yeye pia kachangia kwa namna moja ama nyingine kufanya watu wakujue vizuri na wajue ukweli wa mradi wenyewe, ni Kumshkuru Mungu kwa Kila jambo tu.
 
Bac hiyo yote ilikua ni kheri nilijua nimesha zamisha meli nyie mkiwa na maswali or any clarification msisite kuuliza
 
Back
Top Bottom