Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

Kwa ufupi ww ukifika nduruma stand ambapo pia panaitwa uunguuni ww chukua boda boda waambie waelekea mwandeti wanakufikisha boss
Kaka mimi ni mwenyeji wa maeneo hayo Mkuu, hakuna eneo linaloitwa mwandeti! Ukifika unguuni, kuna options tatu tu; ukishuka/ukinyooka na barabara utaelekea Bwawani/Luisi, ukikunja kulia (kwenye tank/kwa dada) utaeleka Lokii/kichangani, na ukikunja kushoto, utaelekea Marurani/maji moto.

Sasa Mkuu hiyo Mwandeti unayoisemea iliyopo Unguuni ni ipi Mkuu???
 
Mm nakupa option ambayo ni rahic kuto potea boss
Ukiwa nduruma stand pale umeshuka keny haic nenda kwny boda boda yyt waambie nataka kwnda mwandeti wanakupeleka .

Wajua kuelekezana kwa txt ni ngum kdg kama hapo uliposema kuna option 3 kwangu naona kuna 4

Moja kulia unaelekea lokii na kichangani upande huo huo wa kulia kuna ambayo inashuka na nguzo unaelekea kwa ma sister mpk songambele

Mbili kuna ya kushoto zaid na moja ya katikati hapo kibaoni inashuka unaelekea huko mwandeti kunasehem ya mfereji panaitwa kwa rasi kuna njia mbili moja inaenda songambele nyingine inaenda mwandeti ambapo ni kitongojini

Sijajua hapo kama tumepatana boss
 
Mkuu samahani mimi kukuambia kwamba wewe ni muongo! Wana-JF naona harufu ya upigwaji hapa, kuweni makini. Mimi nimezaliwa katika kijiji hicho na huyu jamaa naona yupo "kimtegomtego."

Sudysmile endelea kuwinda wasiojielewa ila mimi nimewataadharisha wana JF...

cc Mlolongo
 
Naelewa boss sio niambaya ambayo ww unayo mm kama mm sio mkazi wa hk nimekuja kuwekeza na nina shamba so kujua kila mtaa na kata kwa undani kama ww sio rahc

Mm ninavojua niko kitongoji cha mwandeti kijiji cha bwawani ila sina lengo la kumdanganya mtu ishtoshe nitafaidika na nn mwenye naitaji mtu wa kusaidiana tutoke kimaisha

Kama nitakua nimekose kwa kuelekeza haukua lengo

Ila kwa uongo ABADANI sijaongea uongo

Ni kwl nina shamba huko
 
Labda ww boss uko maeneo gani hk nduruma
 
Wana-JF huyu jamaa ni tapeli!!!! Ngoja nikuripoti kwa ma-admin wa JF

Active & YinYang Huyu jamaa ni tapeli. Mimi ni mzawa wa hicho kijiji ila taarifa zake kuhusiana na location ya hilo shamba lake ni la uongo, na naona hapa anawinda watu awaibie kwa hila zote kwa kutumia wrong infos. Please mpigeni burn/m-delete hii post yake kabla hajawaibia watu. You will thank me later.
 
Its seems u dont want to reason boss but kusema mm nimuongo that is out line

Kua mzawa wa sehem haimaanishi kila sehem ww unaijua in detail unless ww ni mwenyekiti wa huku

Na nimekuja huku sio kwa lengo la kutapel watu ningekua nina nia ningeenda daka watu huko mjini kwny social media mm sijawa tapel kama wa mpesa na tigo pesa eti tuma hela kwenye number hii

Kama ww hauko interested usiingizie watu ur thought za kuibiwa boss sina mda wa kupoteza na kuibia watu wakati shamba lenyewe ukiingia ardhi ipo na tunafanya kazi sijasema nauza ardhi wabongo ndo mnapo fel hapo
 
Watanzania tunapenda upigaji
Sio mm boss sina cha ku gain nikisema info za uongo kama ni kuchanganya maeneo ni kawaida ila kutaka kupiga sio kwl sijasema nauza ardhi nasema kuwekeza
 
We mwizi naomba usini-quote tena. Nimetoa taadhari kwa wana-JF nikiwa ni mzawa wa Nduruma.....
 
Sio mm boss sina cha ku gain nikisema info za uongo kama ni kuchanganya maeneo ni kawaida ila kutaka kupiga sio kwl sijasema nauza ardhi nasema kuwekeza
Usitake kuwaibia watu Mkuu. JF ni kubwa kuliko unavyofikiri. Natoa taadhari tena wana-JF kaeni mbali na huyu tapeli...
 
Tafuta kazi ya halali yakukuingizia hela Mkuu sio kutunga mauongo yako ili uwaibie watu. JF ni kubwa kuliko unavyozani Mkuu...
Hayo ni maona yako kusema mm ni muongo

Na kwl hii platform ni kubwa kwa nn niseme uongo

Nimekuuliza kistaarabu ww wakaa wapi nikuelekeze from there seems kichwa kimesha kaza what can i do
 
Wana-JF natoa taadhari tena kaeni mbali na huyu tapeli...
 
Tafuta kazi ya halali yakukuingizia hela Mkuu sio kutunga mauongo yako ili uwaibie watu. JF ni kubwa kuliko unavyozani Mkuu...
Nimesha kuuliza ww wakaa wapi wasema nduruma... yenyewe ni kubwa ... Songambele yenyewe haujui ss inakuaje apo ww ndo waoneka muongo

Napia kama hauko interested na kuwekeza acha watu ambao wako wachangie usiaharibu hali ya hewa boss

Ningekua muungo nisinge poteza mda wangu kuendelea kukujibu
 
We mwizi nshakuambia usini-quote tena!!!
 
Wana-JF natoa taadhari tena kaeni mbali na huyu tapeli...
Umeona tabia za wabongo kurudisha maendeleo nyuma wajaribu kumuulekeza ila kakaza fufu

Wana JF nyie mnaakili acheneni na huyu jamaa ananipotezea nguvu zangu

Kama upo kwl interest naomba ni DM
 
Back
Top Bottom