Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
kunitafutia wajina wako tu hadi nife ndio unapendaš
kunitafutia wajina wako tu hadi nife ndio unapendaš
Huyo ni bwana almaaarufu mzinzi mwenzioSijaolewa, ila nina mume.
Huo mgodi sio mkanda wa madini ushachukuliwa na manguliš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ hukosi sababu, jitose tu. Mbona linazungumzika hilo!
35 itakukutia huko huko ndoani, chukua jikoHuo umri sina 35 mi nitoe wapi
Hajibu PM35 itakukutia huko huko ndoani, chukua jiko
ame kukosea shem shem, wewe hajui ndie mlinzi wa mwali wanguššMbona umeniita, mimi sio mwanaume sioi.
mjibu huyu jamaa kwa comment yako hiiame kukosea shem shem, wewe hajui ndie mlinzi wa mwali wangušš
I mean no malice to nobodymjibu huyu jamaa kwa comment yako hii
I mean no malice to nobody
pole kwa ban mkuu, wamebana wameachiaI mean no malice to nobody
Tatizo mnajificha kama mazombi,weka picha yako ukiwa unatoka kuamka.Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Njoo nikuoe āŗļøāŗļøKila la kheri kwako Dear. Lol
Sifa zote nnazo ila sina watotoHabari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Wee em sema kweli?!Njoo nikuoe āŗļøāŗļø
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ na bado!kunitafutia wajina wako tu hadi nife ndio unapendaš
Acha uoga dogo.Huo mgodi sio mkanda wa madini ushachukuliwa na manguli
Kwa umri huo lazima tujiulize ata-offer nini kwenye ndoa? Sio kuvaa vibana tumbo na croptop aonekane binti mdogo wa 2005 kumbe ni mshangazi wa 1999Acha uoga dogo.