Natafuta mwanaume wa kunioa

Natafuta mwanaume wa kunioa

Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Vipi ulipata? Nimekaa nimetafakari, nimeona mwaka huu niachane na lile genge la wahuni na wawindaji wa kataa ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom