Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,732
- 4,651
Kuna wale wazee wa KATAA NDOA watakubeza ila usiwazingatie wasije wakakutoa kwenye reli
Mmoja kipenzi.manake na watoto unao si ndio 😌
kwakweli umesema vema,ila matatzo mengine hayavumiliki ujue,,kutaka tufe wenzio 😆😆
Basi umekidhi vigezo,,zama pm yake chaaapuuMmoja kipenzi.
Mbona umeniita, mimi sio mwanaume sioi.Weww bikra? Au wamekunyambua vya kutosha ikulu imebaki kama bwabwa ndio unatafuta SIMP?
CC: Natafuta Ajira Xi Jinping Rebeca 83 Lamomy binti kiziwi ephen_
NtamsalimuNini sasa
Sawa ngoja nikae kandoWee kama huna sifa za kuolewa na mzabzab kaa pembeni usiwawekee wenzio kauzibe
Huyo Mungu ana wakati gani?Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi boss
Njoo madam.Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
maji ya jioni wewe hufai
Jua likizama ndo nibebe yoyote mmmh ndoa sio habar ya mtu yoyo
Perfect perfect perfect 😍😍😍😍😍Ukitaka mapenzi ya kweli vuta subra usitafute acha papara vizuri vinakuja tu na utasahau ujinga wa x wako, maana pupa upumbaza akili upoteza lengo na ujikuta chochote kije matokeo yake unaishiwa kumegwa na kudhalilishwa tu na kubaki na maumivu yale yale, mtoto wa mtu asikunyime raha iko hivi yupo anaefiti dunia yako so tulia atakuja
sema hii nondo ilibidi niipate wakati nateseka na mapenzi,,saivi aaah ila sio mbaya nitaitumia siku zijazoUkitaka mapenzi ya kweli vuta subra usitafute acha papara vizuri vinakuja tu na utasahau ujinga wa x wako, maana pupa upumbaza akili upoteza lengo na ujikuta chochote kije matokeo yake unaishiwa kumegwa na kudhalilishwa tu na kubaki na maumivu yale yale, mtoto wa mtu asikunyime raha iko hivi yupo anaefiti dunia yako so tulia atakuja
Mungu akujalie haja ya moyo wako.Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Bado muda upo watu wazuri duniani wapo ni swala la muda tu,alikutesaa anahisi huwezi ukapata mtu mwingine ila ukitulia unapata🤝sema hii nondo ilibidi niipate wakati nateseka na mapenzi,,saivi aaah ila sio mbaya nitaitumia siku zijazo
Hahahahaha stop that uchonganishi mkuu.😅😅emotional damage
Apunguze kigezo cha umri