Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,684
- 5,655
Kuna sk nilimtag mtu nikaambiwa hivyo hivyoHahahahaha stop that uchonganishi mkuu.
Kuna sk nilimtag mtu nikaambiwa hivyo hivyoHahahahaha stop that uchonganishi mkuu.
Serious ☺️☺️. Ushindwe mwenyewe tu.Wee em sema kweli?!
Huyo jamaa alieiba ID ya watu amefanya kitu cha kicommunist sana.Kuna sk nilimtag mtu nikaambiwa hivyo hivyo
Ila dipre😂🤣🤣🤣🤣🤣 na bado!
Upo tayari kuwa mke wa tatu?Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Kukuzalia na kukulelea watoto watakaoitwa kwa jina lako pamoja na kukulea wewe unafikiri ni jambo dogo!!!Kwa umri huo lazima tujiulize ata-offer nini kwenye ndoa? Sio kuvaa vibana tumbo na croptop aonekane binti mdogo wa 2005 kumbe ni mshangazi wa 1999
Sio lazima nioe ndo hayo yafanyikeKukuzalia na kukulelea watoto watakaoitwa kwa jina lako pamoja na kukulea wewe unafikiri ni jambo dogo!!!
Si ndio banaaa! 😂ame kukosea shem shem, wewe hajui ndie mlinzi wa mwali wangu😆😊
shemeji mwambie mchumba angu avunje nazi 😂🤣Si ndio banaaa! 😂
Hatujakulea hivyo.Sio lazima nioe ndo hayo yafanyike
sasa si ndo umeshaulizia.. upuuzwe kabisaWajinga watakuja kuulizia chura. Wapuuze tafadhali
Kumbe mi tayar mshangaz ☹️☹️Kwa umri huo lazima tujiulize ata-offer nini kwenye ndoa? Sio kuvaa vibana tumbo na croptop aonekane binti mdogo wa 2005 kumbe ni mshangazi wa 1999