Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,980
Hadi nikatulie sasa siiiijuiiiiBado muda upo watu wazuri duniani wapo ni swala la muda tu,alikutesaa anahisi huwezi ukapata mtu mwingine ila ukitulia unapataš¤
Hadi nikatulie sasa siiiijuiiiiBado muda upo watu wazuri duniani wapo ni swala la muda tu,alikutesaa anahisi huwezi ukapata mtu mwingine ila ukitulia unapataš¤
Huo umri sina 35 mi nitoe wapi
Kule uchagani chamecha ni pole baada kazi ama safari amashughuli.Chamechaaaaa!!!
Chukua Chombo hiko bhana šApunguze kigezo cha umri
Kuna namba E flan humu imeanza kuiba moyo wangu npo namscan taratibu kila anacholike na kucommentChukua Chombo hiko bhana š
Onhoo Hongera, umesema namba A huzitaki šš?Kuna namba E flan humu imeanza kuiba moyo wangu npo namscan taratibu kila anacholike na kucomment
Umeandika kila kitu ila hujaandika mawasiliano unataka kufanyaje huko inbox si ungeweka namba kuepusha usumbufu na km kweli upo serious na kupata mumeNB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Sijasema hvo kwa sasa focus yangu ni ile EOnhoo Hongera, umesema namba A huzitaki šš?
Nimekupata šSijasema hvo kwa sasa focus yangu ni ile E
Wajinga watakuja kuulizia chura. Wapuuze tafadhali
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ hukosi sababu, jitose tu. Mbona linazungumzika hilo!Apunguze kigezo cha umri
Sawa blohMbona umeniita, mimi sio mwanaume sioi.