fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,872
- 24,472
Angalia usijejikuta umetimiza 50 bado uko under your parents roof ohoo,Kimefiti kabisa.Awe na huruma kwenye ajira/kipato.Kila nikitaka kuondoka kwa wazazi wananikatalia.Wananiambia mimi ningali kijana mdogo mtaani nitahangaika.Basi, ndiyo nimekaa tu hapa.Ila safari hii sikubali.Lazima nioe.
Au akili za kataa ndoa zimekung'ang'ania?😂😂