Natafuta mwanaume wa kunioa

Natafuta mwanaume wa kunioa

humu tena, mbona nasikia ndo kuna matatizo balaa
Hujawahi kuinvestigate, achana na shuhuda za waliokuwa wanajaribu wakakutana na wajaribu wenzao. Binafsi nina shuhuda za marafiki ambao they found their soulmates humu na mpaka sasa mambo fresh na wanafamilia....
 
Weeee basi wacha mwakani majira kama haya nijaribu bahati yangu
 
Weeee basi wacha mwakani majira kama haya nijaribu bahati yangu
Let it be now. Kwenye maisha vipaumbele haviepukiki na daima vipo tu. Wahenga wanasema "Chelea chelea......."😆😆
 
Ipo siku nami humu nitatoa tangazo nikitafuta mke😃
 
Let it be now. Kwenye maisha vipaumbele haviepukiki na daima vipo tu. Wahenga wanasema "Chelea chelea......."😆😆
Hahaha amna bwana, ngoja nitulie kwanza🤣🙌🏾
 
Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Dk za lala salama milio imeanza kusikika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom