Natafuta mwanaume wa kunioa

Natafuta mwanaume wa kunioa

Habari wakuu
Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 33
Kabila mchaga
Dini Mkristo
Sina mtoto
Naishi Dsm
Kazi Biashara
SIfa za mwanaume
Miaka 35 -45
Dini Mkristo
Watoto wasizid 2 km atakua nao
Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha
Makazi popote Tanzania akiwa Dar na mikoa
ya jiran itapendeza zaidi
NB: Naomba km huna sifa tajwa hapo juu usije pm tafadhali asanteni
Mkee sii ndio huyu sasa hataki mengi. Vipi kama huna mpango wa kuwa na watoto mie nipo tayari kuwa husband wako...yaani sie tunaoa na kula raha za dunia...dubai cape town kote huko nakuoeleka my wife.
Mie sina mtoto na sina mpango wa kuwa na mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom