CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Funguka mwali!Mimi ndio roommate wa mwali. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?
Sred klozd
Ushapata hilo bwana sasa???????
Funguka mwali!Mimi ndio roommate wa mwali. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?
Sred klozd
Ngoja nimwambie Paw aiondoe kabisa.Mimi ndio roommate wa mwali. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?
Sred klozd
Dah! hii post imeharibu ramani ya suruali. Hakyanani tena. Kila kitu kimefanyaje?
Klorokwini hapana manake ni mume wa mtu,.. Mwali kasema tumsaidie kuchagua..Funguka mwali!
Ushapata hilo bwana sasa???????
Chuna kwanza mpaka mwali aje!Ngoja nimwambie Paw aiondoe kabisa.
Wifi akitokea uporoto mie simo..naenda kuoga sasa hivi,,.na ile pafyumu uliyonipa nzuri kweli ntajipulizia
Mkuu, unaweza ukabahatisha hapo kwa sweetlady, mume wake hayupo nchini kapata kibarua cha kupeleka ngozi za mamba msumbiji.Funguka mwali!
Ushapata hilo bwana sasa???????
Ukuje na apetaiti ya kutosha manake nitabeba na hot pot la ugalinaenda kuoga sasa hivi,,.na ile pafyumu uliyonipa nzuri kweli ntajipulizia
Wana JF, salam!
Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.
Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba
Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua
Kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
Wana JF wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
Hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua THE roommate.
Mwali
PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
Wifi akitokea uporoto mie simo..
Ukuje na apetaiti ya kutosha manake nitabeba na hot pot la ugali
Poa ngoja nikomae mpaka mwisho,alafu wewe klorokwini acha hizo.Mwali mwenyewe bado kabana!Mi sijapata hadi sasa, utaratibu wote nimeweka wazi, acha presha
Klorokwini anataka ukate tamaa
Aisey ! Alafu we Kongosho umekuwa mtu wa5 hivi mi kumsikia anaongea hi maneno !
Inanishawishi nianze sadiki ! Lakini kwa nini tuukande wa udongo Na wa Ngano upo ?
Si ni wapande mathree (matatu-town bus)
Iwashukishe kwa stage ya Chitchat wa'talk , kabla masiku mob hayaja go !
Mtaniwia radhi leo niko ki'Nairobi zaidi .
Wacha kujishaua!Uleee!wenye wivu mjinyonge.
Sasa mimi ndiye roommate wa mwali,kani PM sasa hivi.Sasa msijisumbue tena.Tumeshakubaliana.
Mwali naomba nikuhakikishie kwamba ntailinda na kuitetea katiba na majukumu uliyonipa.Hasa hilo la makeup!
Ntahakikisha nakupepea na kukubembeleza kimahaba mpaka utakapopata usingizi.Chumbani kwako ntashindia na mgongoni ntakupeba!
bado hajapatikana tu?
Naenda kumuita naniliyu