sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Sana! kuliko hata last time.
Mwangalie vizuri, deskmate ni tapeli asee! Usipende kumchekea mara kwa mara.
Sana! kuliko hata last time.
owkay sikunanilihu nanilihu,.halafu wewe huko kote kiswahili chako ni musuri ila kwenye kunanilihu kinakuwa sio musuri
Teh teh teh!And what are your terms and conditions Mandieta?
heheehhe hai hai ya kuolewa ukirudi nyumbani huwezi kutembeaa........ source - mchiriku wa tandaleHakoromi sema anataka kila siku.....
Deskmate, a.k.a. lawyer, hii offer ni sahihi kweli?Teh teh teh!
Kuoga pamoja!
Nikipika mboga wewe unapika sima!
Nikikusugua mgongo wewe unanisugua juu ya futi.
If this terms acceptable I will be the only one to join,NOTE:I do not need to vist at a site atall!!!!!
Woow! yaani this post worth my life. Acha tu nijiskie mwenye bahati aisee.Sana! kuliko hata last time.
Hahahahaaaaa! Umepinda wewe! Khaaa...lol.heheehhe hai hai ya kuolewa ukirudi nyumbani huwezi kutembeaa........ source - mchiriku wa tandale
MhhhDeskmate, a.k.a. lawyer, hii offer ni sahihi kweli?
NB: Ukitoa jibu jibu pia kama bodyguard
Mbona rent yote nitalipia mimi bana, na bonus ya hela ya make up nitampatia. She deserve a queen treatment.Hehehe! Unataka kukomba mapound ya mwali au?
Uporoto yuko wapi? au washamsweka rumande?
Nimeacha Mwali, mwanaume gani kila saa anaomba kuongezewa hela kwenye simu...Vipi Sweetie? wewe umesha acha, be happy, be free.
Hiyo offer sio sahihi na pia nimewasiliana na mods wampe BAN ya wiki.Deskmate, a.k.a. lawyer, hii offer ni sahihi kweli?
NB: Ukitoa jibu jibu pia kama bodyguard
Hehehe! Umekuwa mkweli sana ndio mana lawyer anakuogopa, ungetumia tungo tata angekubali..today its me and you only,, mbona unanikimbia?
Acha tujadili ma pounds kwanza bana halaf ndio tutakuja kwenu nyinyi tanzania shilingstoday its me and you only,, mbona unanikimbia?
Vipi Sweetie? wewe umesha acha, be happy, be free.
Hehehe! Umekuwa mkweli sana ndio mana lawyer anakuogopa, ungetumia tungo tata angekubali..
Aaah huyu kabakabana kila weekend ana mume mpya, anataka kuniibia hivi vipounds vya rent tu.Mambo gani haya deskmate?????? haya, unarudi kwenye list!