klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Mi naona kuna kila dalili za kumpindua Uporoto, aslete za kuleta apa. Hapa ni mjini bana survival of ze fittestsi unajua mimi nikikuona navokuwa? Kama simba mwenye njaa halafu kamuona swala.
Mi naona kuna kila dalili za kumpindua Uporoto, aslete za kuleta apa. Hapa ni mjini bana survival of ze fittestsi unajua mimi nikikuona navokuwa? Kama simba mwenye njaa halafu kamuona swala.
Mkuu kama ushamwachia sweetlady kalog out basi ndio imekula kwako. Mwali niko nae PM ananiimbia kuch kuch hota he za kiroommate roommate.Poa ngoja nikomae mpaka mwisho,alafu wewe klorokwini acha hizo.Mwali mwenyewe bado kabana!
Waifu wangu si ulikuwa wewe ukanipiga kibuti, acha kunibania bana.Klorokwini hapana manake ni mume wa mtu,.. Mwali kasema tumsaidie kuchagua..
Dah....uko juu...Mi naona kuna kila dalili za kumpindua Uporoto, aslete za kuleta apa. Hapa ni mjini bana survival of ze fittest
Mhh!naenda kuoga sasa hivi,,.na ile pafyumu uliyonipa nzuri kweli ntajipulizia
Asante SL.Wifi akitokea uporoto mie simo..
Natafakari,hatua itafata,lakini why kwanini ?>?ssshhh taaraatibu huwa hatajwi yule
Mi naona kuna kila dalili za kumpindua Uporoto, aslete za kuleta apa. Hapa ni mjini bana survival of ze fittest
Dah....uko juu...
Ngoja nimlete uporoto maana hii kesi kubwa sana
Mhh!
Asante SL.
Natafakari,hatua itafata,lakini why kwanini ?>?
Dah! kamanda karib sana. Nilikuwa namtania tania shemeji tu. Wahenga wanasema "Mume uzazi, shemeji kutania"Mhh!
Asante SL.
Natafakari,hatua itafata,lakini why kwanini ?>?
Sijuii maendeleo ya mchakato yakoje!
Dah! kamanda karib sana. Nilikuwa namtania tania shemeji tu. Wahenga wanasema "Mume uzazi, shemeji kutania"
Sasa acha shem mimi nilog out. Yaani Uporoto ana bahati kweli kupata waifu kama wewe. Tutataniana tena keshoangalau umekuja maana mume wangu alikuwa keshapanick.
Sasa acha shem mimi nilog out. Yaani Uporoto ana bahati kweli kupata waifu kama wewe. Tutataniana tena kesho
Gud nite
Mh sidhan kama Uporoto bado yupo mzima maana hapa hata mi naihisi mapigo ya moyo hayako sawa ingawa si muhusika ila inaniuma kuona Uporoto kazidiwa kete na Klorokwinimhh mie nakuonjesha tu wee unataka yote?halafu chek the time.
Mh utani kwa mke wa mtu?Dah! kamanda karib sana. Nilikuwa namtania tania shemeji tu. Wahenga wanasema "Mume uzazi, shemeji kutania"
Mh sidhan kama Uporoto bado yupo mzima maana hapa hata mi naihisi mapigo ya moyo hayako sawa ingawa si muhusika ila inaniuma kuona Uporoto kazidiwa kete na Klorokwini
Mh utani kwa mke wa mtu?
Ila kwa namna Uporoto alivyowekwa kwapani ka Kaby wala hanaga shida....Hata akukufuma wazimawazima anasema mnataniana....Hahahahaaa
Pyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Achana na woooote waliojipendekeza kabla yangu. Mimi ndie perfect candidate, trust me!