Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Mambo gani haya deskmate?????? haya, unarudi kwenye list!
vipi tena mwali??
Mambo gani haya deskmate?????? haya, unarudi kwenye list!
Acha tujadili ma pounds kwanza bana halaf ndio tutakuja kwenu nyinyi tanzania shilings
Si umeona, yaani hii ni sawasawa na kumchukua mwanamke gesti halaf kabla hata haujamsogolea unakuta keshavua kila kitu halaf anakukazia mimachoo, njoo upesi umalize tuondoke, hehehehe hapo jibaba lazima utokee dirishani.Hehehe! Umekuwa mkweli sana ndio mana lawyer anakuogopa, ungetumia tungo tata angekubali..
Wewe na uporoto bana ndio tanzania shillings.kwa hiyo me and you ndo tanzania shilings?
Si umeona, yaani hii ni sawasawa na kumchukua mwanamke gesti halaf kabla hata haujamsogolea unakuta keshavua kila kitu halaf anakukazia mimachoo, njoo upesi umalize tuondoke, hehehehe hapo jibaba lazima utokee dirishani.
Wewe na uporoto bana ndio tanzania shillings.
Kesho nitahojiwa CNN saa kumi jioni, uskose, na nitajaribu kuifagilia JF kwenye mahojiano yanguNimeacha Mwali, mwanaume gani kila saa anaomba kuongezewa hela kwenye simu...
Klorokwini ni mzigo wa kitaifa ati. Jaribu utanambia!
Sasa nimekuelewa, tuonane wapi tukatafunane mabega. Deskmate fumba macho usisome hiienhe niambie sasa umenielewa??
Hahaha! Kinakutoa nini?Si umeona, yaani hii ni sawasawa na kumchukua mwanamke gesti halaf kabla hata haujamsogolea unakuta keshavua kila kitu halaf anakukazia mimachoo, njoo upesi umalize tuondoke, hehehehe hapo jibaba lazima utokee dirishani.
Sasa nimekuelewa, tuonane wapi tukatafunane mabega. Deskmate fumba macho usisome hii
Lol wifi utasababisha lawyer ajitoe je, hebu legeza macho kidogo bana.hapa ni mimi na alieniota jana na mabega yangu
nasikia umetoswa na Canta ni kweli?
Mtaa mzima wanasema hivyo.
Lol wifi utasababisha lawyer ajitoe je, hebu legeza macho kidogo bana.
Acha kuchakachua sredi la Mwali bana...hapa tunaongelea pound tu..Kesho nitahojiwa CNN saa kumi jioni, uskose, na nitajaribu kuifagilia JF kwenye mahojiano yangu
Wana JF, salam!
Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.
Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba
Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua
Kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
Wana JF wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
Hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua THE roommate.
Mwali
PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
Dah! yaani hii nafasi ya roommate sjui kama itapatikana tena kwa hali hii. Ok ukuje na tochi basihayo ndo maneno,saa nane kasoro dakika tano baadae pale pale mgombani
Dah! hii post imeharibu ramani ya suruali. Hakyanani tena. Kila kitu kimefanyaje?yaani hapa kila kitu kimelegea mbona wii?
Mimi ndio roommate wa mwali. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?Acha kuchakachua sredi la Mwali bana...hapa tunaongelea pound tu..
Dah! yaani hii nafasi ya roommate sjui kama itapatikana tena kwa hali hii. Ok ukuje na tochi basi