Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Halaf mwali mbona haonekani au kuna njemba ishatuzidi ujanja?
Nakuja, kuna uwezekano mkubwa wa kuunganisha hili dili na lile la mbwa
I'll be right back. Kabakabana endelea kuchukua offer on my behalf
Kongosho na Klorokwini wakusaidie kuangalia validity ya candidates.
Kumbuka, we want somebody who will make me feel safe, not the opposite
Nyani Ngabu yuko wapi? Najua atanigongea like hapa, nimecheza 1st division.
 
Nimesha piga update pale juu, naomba upitie maandishi in bold

mimi ntakuja na kinywaji changu, kile ambacho jamaa kainua mikono juu chupa kubwa. nachotaka ni kuhakikishiwa kama nipo valid.
 
mimi ntakuja na kinywaji changu, kile ambacho jamaa kainua mikono juu chupa kubwa. nachotaka ni kuhakikishiwa kama nipo valid.
Nitahakikisha kesho Dubu... just be patient 🙂
Kinywaji gani hicho? mbona sikijui?
 
Niko poa Husninyo...
Kuna wakati unapoteaga,au unakuwa majukwaa mengine..

Kwa faida yako tu, kwa siku zijazo ukiwa humuoni Husny , sio kwamba anakua anazururazurura kwenye majukwaa No no ! Hua nakua nae Mtoto muda huo tumejipumzisha, b'coz kanipangia schedule kila baada ya 3 days lazima anifanyie Massage (Manipulate) ndo maana Totoz anaadimika .
 
Mwali plz,
hii Ushongo unayoitaja ni ile Ushongo ya Pangani ?
Maana mie kwetu ni Kijiji kinaitwa Bweni , wilaya Pangani - Tanga.
Hence Bweni tunapakana na vijiji vya Mashadu, Mwera, Ushongo, Kibinda, Kipumbwi, Mauya n.k
Ushongo uisemayo hapa ni ipi ? Japo mie siishi huko lakini origin yangu ndiyo huko.
 
Kumbe unapajua? watu wengi walidhani it is just an imaginary place.
Tunaweza kua ndugu, hairisheni kwanza harusi jamani!
 
Maadam umenikaribisha usijali nitafika, naomba unipokee!
Na uendelee kunisogeza nafasi za mwanzo mwanzo ili mwali walau anione na mimi
Naona sweety kabakabana ameanza kugeuza hii dili kua yake
In fact hakuna cha foleni wala nini, kesho party watu wote njooni
then hapo hapo party ndio visit, na ndio wana JF watanisaidia kuchagua
 
Kesho ntafika kwenye party sijui nimepata namba ngapi maanaake majaji wamekuwa wengi...Ngoja nilale mshindani wangu mkubwa ni Nyani Ngabu ila namzidi kete kesho ntamshirikisha Superman ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom