Haahahaha. Nimefurahi ssna mkuu.Kabisaa, yaani ujumbe umedakwa na mafisi yanayotoka udenda wa kula nyama.
Nataka tu tufarijiane maana unaweza jikuta unadondoka unazimia unakufa kisa una mambo umeyaweka moyoni na huna wa kushare nae, wanaume wanakufa mapema sababu hawashei na mtu mambo yao yanayowaumiza of which is not okay kwa kweli, unaposhare na mtu ndio unapona nafsi yako, wengine wameona suruhu ni pombee na mimi nakunywa sasa hukohuko kwenye kulewa ndio tutakuwa tunaongea na kufarijiana na kurudisha tabasamu.
Umri wangu ni miaka mia na tatu mpenzi
Wapenda mix by yas mnaitwa hukuKama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.
Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.
Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.
Wako mtiifu
Tundazuri
Hujaelewa? hapo unapewa 0717Kuwa wazi Tundazuri, utawafariji kwa kuongea nao tu au kutakuwa na "happy ending"? Dunia hii unatakiwa kuweka kila kitu wazi ili huyo kidume atarajie mema ya nchi...
I love jf🤣🤣
Na rikizo bila uangarifu umepotea mazima.🤣🤣🤣 uangarifu ni muhimu maana watu wako rikizo
Kuna ulichokilengaKuna raha ndani ya usiri, sio vzr kuanika mambo yako au ya watu jaman, au wewe huogopi?
Basi kuja piem tuyajenge.Mbona hiyo avatar ni ya mchumba tuu mtoto soft au unaogopa
Unajua mwenyeweKabisaa ila sijui kama ni hicho unachokiwaza