Natafuta mwanaume Dodoma

Natafuta mwanaume Dodoma

Mzeya mie nina mil 234 benki. Hela yangu ni kwa vitu vya msingi tuu.
Wewe baba jipe raha, fanya vitu vikubwa kula vizuri, usijinyime hata kama una shilingi mbili, kumbuka kusave, yaan mimj nifanyekz smtms mpaka usiku natoka job saa moja alaf nijinyime hahaha sio mimi kwa kweli
 
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.

Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.

Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.

Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.

Wako mtiifu
Tundazuri
Asante kwa taarifa wenye stress watakufuta japo umesahau kuwa kumbusha kwamba lazima wawe na pesa vinginevyo stress zitaongezeka pale utakapo Anza kuwadownload
 
Wazee na maugwadu yenuu mpoooo
20250414_205222.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom