Natafuta mwanaume Dodoma

Natafuta mwanaume Dodoma

Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.

Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.

Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.

Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.

Wako mtiifu
Tundazuri
nawakumbusha tu huyu alieandika hapa sio mwanamke.
 
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.

Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.

Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.

Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.

Wako mtiifu
Tundazuri
Vp arusha je hutaki?
 
Jamani nifumbueni macho huyu si mwanaume au ?
Kama vile....
images (7).jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom