Wewe kweli ni binti au mwanamume anayeuza jicho la tatu.Sijaelewa swali mpendwa wangu
Mkuu toa hiyo avatar bana.Sema tunda tafadhali, usidhalilishe mali ya watu
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.
Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.
Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.
Wako mtiifu
Tundazuri
🤣🤣🤣 uangarifu ni muhimu maana watu wako rikizoHapa ndio pa kuangaria sana " Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja." 😀
Umeandika kwa maana njema sana, lakini usichokijua ni kwamba wanaume wamekaa kama mafisi.Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.
Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.
Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.
Wako mtiifu
Tundazuri
Mwee hiyo nauli amenipa yeye?Kumbeeee mzabzab huwa anakuja kwahiyo hapa anatuchora tu
Kabisaa, yaani ujumbe umedakwa na mafisi yanayotoka udenda wa kula nyama.Umeandika kwa maana njema sana, lakini usichokijua ni kwamba wanaume wamekaa kama mafisi.
Wanaweza kujitokeza kwa makumi, mkuu utawabebea mbeleko gani?
Ndiyo hapo kuanza kuignore pendo za watu na kutoonekana kwa kujificha.
K mpya zinatafutwa kwa juhudi kubwa na gharama yoyote kuliko unavyodhani.
Una umri gani mkuu?
Kwani target unataka wangapi,naona kama unataka wengi au Kuna interview.Kabisaa waite waje kwa wingiii
We ni tunda wa kike au wa kiume???Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.
Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya maumivu yako ya ndani, sipendi kuona ukiteseka kwa stress wakati mimi nipo.
Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja.
Wako mtiifu
Tundazuri
Sawa mkuu, D mbili nnazo 😁Hata sielewi mimi mwenyewe, njoo unichunguze mpendwa jaman