Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?