hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,274
- 4,047
Hakikisha unaoa Mwanamke BIKRA
Kwanza humu wote wanaume 😹😹Huko kanisani kwenu hujawaona?
Hapo sasa, 😂😂😂Kwanza humu wote wanaume 😹😹
Kama ambavyo hawataki single maza na sisi hatutaki single fazaBabymama na baby dad hawaachanagi maana mtoto yupo
😃😂Hakikisha unaoa Mwanamke BIKRA
Win Win SituationHapo sikushauri shogaangu
Kama ambavyo hawataki single maza na sisi hatutaki single faza
Hello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
Mrembo Coca cocastic anakufaa, ingawa bado binti hajafikia gorofa 3 ila ni siri. Dada yangu Seran toto zuri Seran tayari lime follow love kwa Kijana wakipare ndg Mbaga Jr ila mbaga jr ni kijana bahiri ila ni siri.Huko kanisani kwenu hujawaona?
Ni siriKwanza humu wote wanaume 😹😹
Sio chokoraa, ni bahiri ila ni siriHuyo chokoraa mimi hapana!🙌🏾
Mimi bahiri simuwezi kabisa!Sio chokoraa, ni bahiri ila ni siri
Wewe ni toto zuri buana. Unahitaji matunzo. Kuna mwamba ana miaka 38 anahitaji mke, toto zuri changamkia fursa hiyo. Mwamba ana mitumbwi ila ni siriMimi bahiri simuwezi kabisa!
Sitaeza! Ngojaa wanaohitaji mume waje waokoe jahazi!Wewe ni toto zuri buana. Unahitaji matunzo. Kuna mwamba ana miaka 38 anahitaji mke, toto zuri changamkia fursa hiyo. Mwamba ana mitumbwi ila ni siri
Mm sio bahili, mm n balaa 😎Sio chokoraa, ni bahiri ila ni siri
Anauza madini 😎Ana kazi gani? Sio tufike tuanze kukopesha mabeseni kama waha
Hapo sawa! Mpe no yangu chap..💃🏽Anauza madini 😎
Imeisha hiyoooooooHapo sawa! Mpe no yangu chap..💃🏽