Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,069
- 94,845
Hapana siwezi!🤣🤣🤣🤣🤣 kazi ni kazi dada
Hapana siwezi!🤣🤣🤣🤣🤣 kazi ni kazi dada
Bora ana cha kufanya je ukikuta ni wale wa kusikiliziaga mchongo miaka nenda rudi hautikAna kazi gani? Sio tufike tuanze kukopesha mabeseni kama waha
Mcheki kwanza huenda sio tapeli huyuNingejitoa kwa uzima na maradhi tuishi ila ndo ivo jf 98% ya watu wake matapeli tu
Aisee sitaweza!Bora ana cha kufanya je ukikuta ni wale wa kusikiliziaga mchongo miaka nenda rudi hautik
We unaogopa biashara ya mkopo wa mabeseni mi ni naniMcheki kwanza huenda sio tapeli huyu
Huwezi jua huenda nyota yako ilang’aa zaidi mkamiliki makubwa zaidi.We unaogopa biashara ya mkopo wa mabeseni mi ni nani
Mke mwema anatoka kwa bwana na kanisani ni nyumba ya bwana kwahiyo komaa hapo hapo unakofanyia ibada hasa waimba kwayaHello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
Mapenzi ya kuvumilia maisha magumu ya mtu nayo! Mkishatoboa anakuona takatakaHuwezi jua huenda nyota yako ilang’aa zaidi mkamiliki makubwa zaidi.
Ndio zao hizo, mimi hata sitaki!🙌🏾Mapenzi ya kuvumilia maisha magumu ya mtu nayo! Mkishatoboa anakuona takataka
Waimba kwaya nao! Kukulana na kuwekeana vinyongo ila wakisimama kuimba utafikiri hawana ugomvi kati yao...yaani wanabebana kwa kuzunguka humo humo hawaendi mbaliMke mwema anatoka kwa bwana na kanisani ni nyumba ya bwana kwahiyo komaa hapo hapo unakofanyia ibada hasa waimba kwaya
Angefanikisha Chap Kuliko HukuUngekomaa church
We jitose kwani bebimamaz ndo utaenda nao altare😀Cv haijakamilika tuambie
Una babymama wangapi?
Bila shaka pm yako imejaa sasaivi?
Nijue kwanza naingiaje maana babymama hamchelewiBora ana cha kufanya je ukikuta ni wale wa kusikiliziaga mchongo miaka nenda rudi hautik
Babymama na baby dad hawaachanagi maana mtoto yupoMcheki tushone sare sisi
Nijue kwanza naingiaje maana babymama hamchelewi