Natafuta mwanamke aliye tayari kwa serious relationship

Ila wabongo huwa tunakosea sana mda mwingine (hata mimi).

Mtu anatafuta mpenzi watu wanakuja kumpa ushauri kuhusu mapenzi na maisha.
Watu wanafiki sana. Waulize wao wakati wanasoma hawakuwa na wapenzi. Wengine wameanza toka primary halafu hapa wanajidai wao malaika. Ukishabalehe genye hazina umri labda uwe na matatizo ya kiafya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom