Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
hahaaaa. haya.pure awesome
hahaaaa. haya.pure awesome
Kwa majibu haya utajioa mwenyewe...ur the insane huwezi kuandika cha maana piga kimya
wewe hutafuti mwanaume ambaye hana mtoto?..hahaaaa. haya.
sio vizuri.. usiwe unamwambia single mother hivyo.. tumesamuombea na lazima atapata mumeKwa majibu haya utajioa mwenyewe...
Sitafuti mwanamme wa aina yeyote.wewe hutafuti mwanaume ambaye hana mtoto?..
ila wewe unatafutwa sanaaaaaaaa aaaaaaaaaaSitafuti mwanamme wa aina yeyote.
heeeeeeee? Kituo cha Kati au?ila wewe unatafutwa sanaaaaaaaa aaaaaaaaaa
Utamsababishia mwenzako machungu ukiona mpaka kaja huku ujue kuna maamuzi magumu ameyafanya ambayo kimsingi ukimuuliza anaweza akaanza kulia, wewe jitokeze tu mkuu kachukue jiko, mambo mengine utamuuliza ukishaona ni chaguo lakoKwani baba mtoto wako yuko wap?
Huyu take away tu hana lolote...sio vizuri.. usiwe unamwambia single mother hivyo.. tumesamuombea na lazima atapata mume
I am...ninae mtt mmoja ila kuoa mpk mwaka labda,ww umedhamiria kuolewa this year?!man r u serious
Not fair bro.Huyu take away tu hana lolote...
Gwisaa Ngoshaaaa! Proposal za kuomba kuolewa zitakuwa nyingi mwaka huu!Not fair bro.
Kama huna interest nae pita kimya badala ya kumchafulia jina.
Amekukosea nini?
Are all your sisters married? Because it could be one if them using an anonymous ID.
Na miaka ijayo. Hamna kipya.Gwisaa Ngoshaaaa! Proposal za kuomba kuolewa zitakuwa nyingi mwaka huu!
Mkuu mbona imekugusa sana hii habari ama nawe unatafuta?Na miaka ijayo. Hamna kipya.
Nipo kwenye ndoa mkuu.Mkuu mbona imekugusa sana hii habari ama nawe unatafuta?
Umekuwa too emotional! Kupanga ni kuchagua,kuna wengi ni masingle mother kwa kupenda siyo fate!Nipo kwenye ndoa mkuu.
Sipendagi watu wanavyowachukuliaga single women kama vile ni criminals.
Kumuita take away haipendezi.
niko tayri kama uko seriousMimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
tuyajenge ila baada ya kuwa tumeelewana tuma emailMimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
MeMimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Mchaga!!!Mimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm