Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

Wachaga uoana na Wachaga wenzao sasa wew mmakonde jilengeshe tu kwa uyo mangi kama hujafirisika wallah nakwambia
 
Hiii inaitwa nipe nikupe Raha tupatee ,njoo upate mambo matamu toka kwangu[emoji444] [emoji444] [emoji447] [emoji448] [emoji449] [emoji446] [emoji441]
 
Mimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Uko wapi
 

Mkuu sijui kwanini nimetokea kukukubali sana japo sikujui..huwa siachag kusoma comment yako lazima niisome tu iwe isiwe mkuu..ukiniuliza kwanini sina jibu la kukupa.
 
Aombaye hupata, uwe tu na subira dada....ila Katoliki ni dhehebu dini ni kristo.
 
Kumbe ndo maana ulizalishwa na kuachwa, DINI-mkatoliki ndo nini? ELIMU-Diploma ya design,ndo diploma gani hiyo? tafuta alofiwa na mke labda atakuoa..!!
 
Mimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Tuwasiliane whazap no:0783516666
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom