Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

90% ya wanaume huwa wanauwezo wa kumpenda mama pamoja na mtoto wake but only 1% wanawake wanaweza kuwapenda watoto wa mume wake ( means kama wote walioana wakiwa na watoto ambao hawajazaa pamoja)
 
Ni pm mama, tufanye maisha bt am 25.
 
[emoji16][emoji16]umepatia aise arifuu ila ninamda sana niko kwa huyu mdungua unga sembe
Wanajuana kwa vilemba. Si tunajuana kwa slang aseeh. Aiko kwere now nipo home ukifika huku nideree [emoji5]
 
Wanajuana kwa vilemba. Si tunajuana kwa slang aseeh. Aiko kwere now nipo home ukifika huku nideree [emoji5]

Haina kwereee chalii angu aseee[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Wanajuana kwa vilemba. Si tunajuana kwa slang aseeh. Aiko kwere now nipo home ukifika huku nideree [emoji5]

Umenikumbusha mbali ni kinyama jombaa huwezi amin..nimepiga picha ya kijana wa chuga anavyotema yai la kipande ile aseeeh.. ni shidaaaa..
 
Umenikumbusha mbali ni kinyama jombaa huwezi amin..nimepiga picha ya kijana wa chuga anavyotema yai la kipande asee ni shidaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]..shigd. angalia mdenguaji asikufanyie kirampasi cha ngada ukageuzwa mfuko chalaaa.

Prove me you're woman! !
 
[emoji23][emoji23][emoji23]..shigd. angalia mdenguaji asikufanyie kirampasi cha ngada ukageuzwa mfuko chalaaa.

Prove me you're woman! !

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu mie...[emoji119][emoji119][emoji119]we mshindi aise

Haya niambie niprove kwa kufanya nini..
 
Nyamazeni nipo mm 42yrs, education level 1st degree pia na watoto wawili, and govt employee. Karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom