Cathsandra
Member
- Jul 11, 2016
- 18
- 52
Mmmh mchagaaaa!
Nina watoto wawili kabila mchaga miaka 30 nina bachelor nafanya PSPF najielewa... Kama hutojali ni PMMimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Mbona hujibu mtu akiku pmNina watoto wawili kabila mchaga miaka 30 nina bachelor nafanya PSPF najielewa... Kama hutojali ni PM
Hahahahaaa imebidi aiseeeNina Watoto 9, ni pm.
Mwandiko wako tu umekuumbua au labda utakua na diploma ya kupika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Hapo Mbuzi kafia kwa muuza supu jamaa Kapewa penati, kazi kwake; apaishe, ampe kipa adake au afungeChukua Fursa Hiyo!
Bado hamna aliye ni PMMbona hujibu mtu akiku pm
Utakubali kua na mke mwenzio?....[emoji85] [emoji85]Mimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Basi njoo mp kwa ile ID yako ya zamani ninayo ifaham....[emoji6] [emoji6]
mm hapa umeshapata wala uc nawaswas nnakaz nzur tu nauza kalanga nna mkokoten wakuuzia wakisasa..new modelMimi ni single mum
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm