Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

Natafuta mume mwenye watoto/mtoto

Ebu usimtishe mtoto wa watu...ungejua kwa waziri mkuu wangu kulivyokukavuuu [emoji24][emoji24]
Hivi kwa waziri mkuu kunajaaga kumbe wengine tumeshasahau kama kuna sehemu inaitwa kwa waziri mkuu
 
Na mimi nimetokea kukukubali sana aiseeh..

Nilikuwa natafuta pa kutokea...alhamdulillah.

Kwema lakini?

Khaaa..yaani unasubiria tuwe na wajukuu ndiyo unieleze hayo?

Daily tulipishana huko majukwaani [emoji54].

Kwema pat...hope you're doing well.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom