Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
haviwezi Daby kama ni ya kwangu ni ya kwangu tuKuna vitoto humu vitaipokea...oohooo
haviwezi Daby kama ni ya kwangu ni ya kwangu tuKuna vitoto humu vitaipokea...oohooo
Asante..Haya mpendwa karibu..
Jisikie upo chumbani [emoji124]
Sasa ukisikia mbuzi kwenye gunia ndio huku, onesha uwanja tuuone watututasminiMimi ni single mum na mtoto wa mmoja wa Miaka 2
Elimu niña diploma ya design
Kabila: mchaga
Dini: mkatoliki
Umri wangu n 27
Natafuta mwanaume anayejielewa, mcha Mungu, mwenye shughuli ya kufanya. Mengineyo anicheki pm
Nikiwa na divert napoteza memory!Asante..
Ila fulani asiione post hii.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hapo kwenye kabila hapo ndio tatizo, kama kweli mcha mungu hebu mrudie Mme wako mlee mtoto wenu. unataka mcha mungu wakati wewe haumchi mungu
Acha tu nisimtaje,make ni mjeda yule jamaa,ataning'oa kucha na meno bila ganziNikiwa na divert napoteza memory!
Anaitwa nani vile?
Wabongo Bana mnakomplicate mambo madogo nyiebora ungeandika kira ra heri ama kila la heli tujue moja.
Umekuwa too emotional! Kupanga ni kuchagua,kuna wengi ni masingle mother kwa kupenda siyo fate!
Hahaaa. Weekend njema MkuuWabongo Bana mnakomplicate mambo madogo nyie
Kwel nimeamn kukosa aman sio mpaka upigane na nchi nyinge
Calm down mumy, hakuna mahali nimemuonesha single mum as prostitute/hoes, huku inter prate vizuri, naheshimu wanawake...Mama yangu ni mwanamke though sikuwahi kusema!Probably. But please next time, just respect a single mom.
Sio wote ni hoes.
maybe am being too hard on you. Basi yaishe but maana yangu ilikuwa kwamba ulikosea kumwambia yeye ni take away kwenye post yako ya kwanza.Calm down mumy, hakuna mahali nimemuonesha single mum as prostitute/hoes, huku inter prate vizuri, naheshimu wanawake...Mama yangu ni mwanamke though sikuwahi kusema!
Cheers! Uwe na wakati mwema,na samahani pia kama nimetumia approach yenye ukakasi kufikisha kile nilichokuwa nawaza.. sikuwa na nia ya kumkwaza mtu anyway!maybe am being too hard on you. Basi yaishe but maana yangu ilikuwa kwamba ulikosea kumwambia yeye ni take away kwenye post yako ya kwanza.