Natafuta mpango wa kando

Umesahau shart moja: "Awe na 'nanino' kubwa kuliko mme wako." Au hiyo ni kati ya zile utakazozitoa kwa mhusika mwenyewe?
 
bebi nakuwa wa kwanza kutuma maombi
unaweza kuwa ze big house ukishafuzu interview muhimu
nadhani ni ww tu sasa. carmel mm kwako sitajaribu uwanja huo nawaachia wakongwe humu kina ASPRIN,THE BOSS na wenginenoe.
babiiiiii gade me ktk top list yako.

loh? yamekuwa hayo? na mimi natangaza nafasi ya kuwa small house
 
babu hebu nijuze, hivi kwenye small house huwa mnajilipua? (mwanafunzi makini,najitahidi kukremisha notes nisije nikachemsha,lol)
Ukipata mimba itakuwa ya mmeo au ya kidumu?

Wengine tunadai damu zetu hata mbele za waume zenu!
 
loh? yamekuwa hayo? na mimi natangaza nafasi ya kuwa small house
usjaribu kama U still hav a wish to marry someone, kwa asilimia kubwa ya wadada wakisha ingia huu mkenge wanaishia kuwa na familia isiyo na baba...its a bit sucrifice unless ur ready to take it, U can go on
 
Hilo suala kulitatua hata Mitume wameshindwa itakuwa mimi na wewe

Wanawake ishini maisha yenu vile mpendavyo, mume akichukua nyumba ndogo, so be it. Sio kuishi kwa khofu ya probability and chance
wazungu wa kwenye tamthilia huwa hawana sana haya mambo!!
 
babu hebu nijuze, hivi kwenye small house huwa mnajilipua? (mwanafunzi makini,najitahidi kukremisha notes nisije nikachemsha,lol)
Maswali mengine bana........khaa! Ni sawa na kuulizia magwanda CHADEMA.


Hivi hukumbuki shem wangu alisema anaprefer hit and run cheatings?........Nyumba ndogo ni full milipuko!
 
mshefa ni 'out of the league' guy..
hiyo tafsiri yako ni mchafuzi....
mshefa ni a guy ambae ni reliable na haachi 'regrets 'kwa mwanamke...
the type of a guy you call unapokwama lol

Ha haaaaaaaaaa....Duh nimeipenda hiyo mshefa lol
 
Maswali mengine bana........khaa! Ni sawa na kuulizia magwanda CHADEMA.


Hivi hukumbuki shem wangu alisema anaprefer heat and run cheatings?........Nyumba ndogo ni full milipuko!
usiuze sana nyaraka mazee, nyingine bado ni classified hadi tukifiksiha miaka sabini....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom