Natafuta mpango wa kando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mpango wa kando

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, Oct 17, 2011.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
  Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.

  Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
  1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
  2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
  3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
  4. Asiwe na mtoto wala mke
  5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
  Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.

  Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,551
  Trophy Points: 280
  lol..............i missed you.....
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,284
  Likes Received: 4,256
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  aiseeee!...ila kigezo cha u_handsome hapo ndio kizungumkuti(maake ni subjective kwa vigezo vyako)..ila suala la pesa,kuhonga na perfomance ni easy kwa saaaaaana
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  I missed you tooo...alot.. can we start with you? (i mean in the list?)
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,466
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hapo namba tatu ni lazima tuonjane kwanza ndipo utajua. Maana ni vigumu kujua kama nina performance zaidi ya ile ya mumeo kabla hatujapiga gemu ya majaribio!
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  You wouldn't be better than them then...
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,551
  Trophy Points: 280
  mimi naitwa 'mshefa' humu..lol

  ukitaka mshefa wa uhakika ni pm but huwa siingii kwenye list za watu...

  niko above any 'competition.'.....lol
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,282
  Likes Received: 10,910
  Trophy Points: 280
  Ukipata mimba itakuwa ya mmeo au ya kidumu?

  Wengine tunadai damu zetu hata mbele za waume zenu!
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  In order to get a solution to a problem you have to fully understand it...n thats what i am trying to do. Its like really understanding what makes them have them nyumba ndogoz...then from there i can propose solutions...usiogope... if you cant beat them you are advised to join them
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Does that mshefa mean "humu" kote ushachafua...yani una nyumba ndogo kibao "humu"? ha haaaa...kuwekwa kwenye list ni lazima ili vigezo na masharti vizingatiwe.
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimba itakuwa ya wote
   
 13. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ningejaribu bahati yangu lakini mh! ka umekomaa komaa kivile au?
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kukomaa nako ni kweli nimekomaa kama we therengeti boy...pls dont try this at home.
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,758
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mganga hapelekewi SAMAKI
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,675
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hapa konfyuzid.....
  Carmel hujambo?
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  And if you can't change it, then you better take it with humor. Haya mama. Mi msimamo wangu ni ule ule, ukisha jua what we don't know please share your experience so we don't have to repeat all your mistakes.
   
 18. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  haya sasa vidume changamka
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,551
  Trophy Points: 280
  mshefa ni 'out of the league' guy..
  hiyo tafsiri yako ni mchafuzi....
  mshefa ni a guy ambae ni reliable na haachi 'regrets 'kwa mwanamke...
  the type of a guy you call unapokwama lol
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  loh? yamekuwa hayo? na mimi natangaza nafasi ya kuwa small house
   
Loading...