Natafuta mpango wa kando

Boss naanza kujifunza kuto kujibu hoja za watu ambao tuna different world views.

If you believe there is perfect marriage (no one night stand, no cheating) don't marry; kwani chance ya ndoa ya hivyo ni 0.0001. Na inaweza isiwe yako.

Nadhani ndio maana NN alisema yeye hana mke (if am right)

Sasa wale wanaomuunga mkono wakati wako kwenye ndoa naomba niwacheke tu kwani ni matter of time or you are already in it ila hujuhi.

Labda uolewe na mwanume mweny ugonjwa unaopunguza nguvu hapo huko safe.

hivi we una mume au nyumba ndogo????
 
my point ni hii
msimamo wa NN ambao si realistic ni hatari zaidi kwa jamii...
na unawaumiza womens zaidi.....kwa sababu atakuwa free to do anything as long as hajakuoa
while bora uoe,mke ana justification hata za kuanzisha ugomvi ukitoka nje...
so mwanamke ku support bora 'usioe' inakula kwake...
kwani ndoa sio kanisani tu,hata kuishi na mtu 'kisela' tu ni ndoa.
 
Boss ulisema una mke.

Je, utajisikiaje siku utapogundua mkeo ana nyumba ndogo yake?
 
inawezekana mimi na wewe kuna vitu 'fundamental' tunapishana...
mimi siamini kwa kuwa mimi nna nyumba ndogo na yeye 'amepata' haki hiyo..
nilisema mwanzo na narudia hapa...mwanaume na mwanamke hawako sawa na
hakuna sababu ya kushindana......

now swali lako ni kuwa'maamuzi yangu yatategemeana sana'
dirvoce ikiwa the first option...
 
Swali lilikuwa straight forward na kulikuwa hakuna haja ya longo longo zingine. But I'm glad you answered it though vaguely!!
 
Khaaa!!! Lmao.... Zingekua THICK brains... it would have made sense.... at least to me.... BUT then again najirudi nakufikiri it is the exact way you are thinking about what i have posted... So I say to myself.... "what the heck!!"

Now what the freak are you talking about here?
 
naomba kuuliza Boss kwa maelezo yako ina maana nyie mko perfecto?
inawezekana mimi na wewe kuna vitu 'fundamental' tunapishana...
mimi siamini kwa kuwa mimi nna nyumba ndogo na yeye 'amepata' haki hiyo..
nilisema mwanzo na narudia hapa...mwanaume na mwanamke hawako sawa na
hakuna sababu ya kushindana......

now swali lako ni kuwa'maamuzi yangu yatategemeana sana'
dirvoce ikiwa the first option...
 
what about us?tukianza kutoa justification huoni kutakuwa hapatoshi nachoweza sema binadamu tumeumbwa na ubinafsi wa ajabu hata ufanye baya kiasi gani utatafuta mazuri ya kufunika ubaya wako
hatuko 'perfect'..
but biology inatu favor...and its not our fault..

i cant apologise to be born a man.....never....
 
Duu, kwa hiyo na wewe umekubali kuingia kwenye group la kina infed ...? Kila la kheri!
 
unajua funny thing ni kwamba 'understanding' yako ya ndoa im base kwenye 'christianity' teaching..
tena wewe ambae huamini katika christianity.....na hao akina Oprah pia.....

but ndoa kwa sisi wengine ni zaidi ya kiapo...
kile kitendo tu cha kuishi na mtu kwa miaka ni ndoa tayari...

so hata huyo Oprah yuko kwenye 'ndoa' lakini haelewi.....

Nakubaliana na wewe >100%

Kuna ndoa nzuri sana na zenye amani ambazo hazina kiapo chochote au makaratasi...Ila kuna ndoa nyingi zenye viapo, makaratasi na hata mikataba ya wanasheria first class wakati ki-ukweli ni usanii mtupu!

Kwa vyovyote vilae...with or without cheating..Kwangu ndoa ni kitu chema sana!!
 
Ngoja kwanza nimalizie hii Honey- moon yangu l.o.l. Naona huu uzi unanizeesha bure, nkishakomaa vizuri ntarudi.
 
inawezekana mimi na wewe kuna vitu 'fundamental' tunapishana...
mimi siamini kwa kuwa mimi nna nyumba ndogo na yeye 'amepata' haki hiyo..
nilisema mwanzo na narudia hapa...mwanaume na mwanamke hawako sawa na
hakuna sababu ya kushindana......

now swali lako ni kuwa'maamuzi yangu yatategemeana sana'
dirvoce ikiwa the first option...

1.Wewe unayo
2. Na yeye amepata haki hiyo (Duh kumbe ni haki yake?). Sasa divorce ya nini tena jama?
L.o.l
 
There is nothing good in relation!But life in relation is like life in college!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom