Natafuta mpango wa kando

Hii ni kali. Naomba kukuuliza swali la kizushi: Je una mtoto? Isije kuwa unatumia fursa hii ili kujaze mimba ili mumeo aondokane na aibu. Wengi walisema hivyo kumbe lengo ni ili ndoa zao zi dumu.
 
Mtoto sina kabisa..yani mi bado binti mdogooooooooooooo sema tu niliwahi kuolewa..kama nikikukubali na zawadi ya mtoto wapata...how about that?
 
siwezi kujua upigaji wao ukoje au saizi ya ndude, lakini pesa au vingine wanaweza kuwa navyo........... nadhani kapiteni john komba ana sente za kukutosha,

au vipi mkuu mwenyewe kabisa muzee kifimbo aka mbunge wa butiama?
 
Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.

Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.

Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.

Haki ya nani tena, mumeo atajinyonga. Kwa ME kuwa na nyumba ndogo huwa wanaona kama ni wajibu, but kwa KE huo ugomvi hauwezi kutatulika lazima ndoa ivunjike au apoteze mtu maisha hapo. L.o.l
 
Carmel baada ya kutafakari saana nimeona niungane nawewee.... Bahati mbaya saaana Vigezo vya wangu vipo juu hivo kama nitampata wa kumpita... then it means i am missing something.... Vigezo na masharti kuzingatiwa....

  • Iwe love at a second.... maana nilo nae ilikua at first sight..
  • Nikimuona tu roho yangu iende rapidly "bumb" bumb" bumb"
  • Ajue what makes me tick from instinct bila kuambiwa...
  • Kiumri awe 35 +
  • Nakubaliana na upande wa perfomance... aniwezeshe kufurahi na kufika kwa kunishika kidole (kwa ufundi) tu ili amzidi nilonae ambae huweza kwa kugusa mkono tu...lol
  • Mine is always there for me... Wee unae apply sijui hapa uta-compete vipi maana pako fully covered...
  • Awe mwanaume in every sphere... Yaani amzidi my Man who already is an Alpha male...
Natanguliza shukrani kwa maombi yooote (in case nitabahatika) take note interview ni one on one - maana kukaguliwa kwa macho muhimu....
 
Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.

Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.

Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.

Carmel baada ya kutafakari saana nimeona niungane nawewee.... Bahati mbaya saaana Vigezo vya wangu vipo juu hivo kama nitampata wa kumpita... then it means i am missing something.... Vigezo na masharti kuzingatiwa....
  • Iwe love at a second.... maana nilo nae ilikua at first sight..
  • Nikimuona tu roho yangu iende rapidly "bumb" bumb" bumb"
  • Ajue what makes me tick from instinct bila kuambiwa...
  • Kiumri awe 35 +
  • Nakubaliana na upande wa perfomance... aniwezeshe kufurahi na kufika kwa kunishika kidole (kwa ufundi) tu ili amzidi nilonae ambae huweza kwa kugusa mkono tu...lol
  • Mine is always there for me... Wee unae apply sijui hapa uta-compete vipi maana pako fully covered...
  • Awe mwanaume in every sphere... Yaani amzidi my Man who already is an Alpha male...
Natanguliza shukrani kwa maombi yooote (in case nitabahatika) take note interview ni one on one - maana kukaguliwa kwa macho muhimu....

Hakuna atakayepita huo mtihani.. In short "Hakuna"

Kumbuka "infidelity" ina sukumwa na mambo mengine kabisa zaidi ya hayo hapo juu... Na hasa ikiwa mmoja wenu anataka kulipiza kisasi yaani huwa anastuka ameshaanguka kwenye shimo ambalo kama akiwa ana akili timamu angelikwepa..
 
Sifa zote hizo mi nnazo, tatizo mie ni shemejiyo.........

Haya nenda kweke kigezo cha masharti ya ushemeji kabla sijamwita hommie hapa!
 
In other words ni kwamba the MAN i have saizi... to me he is perfect!! Hivo kama kweli yupo atakae weza pita hio perfection... Then I am good....lol
 
carmel baada ya kutafakari saana nimeona niungane nawewee.... Bahati mbaya saaana vigezo vya wangu vipo juu hivo kama nitampata wa kumpita... Then it means i am missing something.... Vigezo na masharti kuzingatiwa....
  • iwe love at a second.... Maana nilo nae ilikua at first sight..
  • nikimuona tu roho yangu iende rapidly "bumb" bumb" bumb"
  • ajue what makes me tick from instinct bila kuambiwa...
  • kiumri awe 35 +
  • nakubaliana na upande wa perfomance... Aniwezeshe kufurahi na kufika kwa kunishika kidole (kwa ufundi) tu ili amzidi nilonae ambae huweza kwa kugusa mkono tu...lol
  • mine is always there for me... Wee unae apply sijui hapa uta-compete vipi maana pako fully covered...
  • awe mwanaume in every sphere... Yaani amzidi my man who already is an alpha male...
natanguliza shukrani kwa maombi yooote (in case nitabahatika) take note interview ni one on one - maana kukaguliwa kwa macho muhimu....
dah hata wewe umeamua kutufata?
 
Sifa zote hizo mi nnazo, tatizo mie ni shemejiyo.........

Haya nenda kweke kigezo cha masharti ya ushemeji kabla sijamwita hommie hapa!

Shem mbona sasa nikiwa nawe ama nikikuona roho haiendi "bumb" bumb" bumb" take note hicho ni kimoja tu.... Hapa ukimleta hommie wako akili inapaa kabisa na all the above vigezo anafikia.... Hivo you are DIS-qualified on those basis....
 
Roho haiendi hivyo kwa kuwa mie ni shemeji yako......... bado nakusihi ukaweke hicho kigezo cha ushem.......... am counting .................1....................2.......................
 
Vigezo vya ushem:-

Mashemeji woote wanaruhusiwa ku apply kasoro tu "Darling Shem" na you know i only have one darling shem....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom