Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Wanawake wenye kisukari nao wana changamoto kwenye kushiriki tendo?

Au unataka ubane matumizi kwa vile hawashauriwi kutumia vyakula vyote vinono!
 
Awe na changamoto ya kisukari.
Hapo wanawake wa umri huo wanaelewa changamoto uliyonayo

Bora katika ile foleni ya kuchukua dawa au matibabu angalia hapo hapo mwenye kisukari mwenzio.....
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
Umetisha sana mkuu.Bravo,bravooo kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom