Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 37,072
- 106,548
Salamu ziwafikiwafikie secretarybird na vijana wetu wawili Monetary doctor na Mjusi SharobaloTuma salamu kwa watu watatu.....
Salamu ziwafikiwafikie secretarybird na vijana wetu wawili Monetary doctor na Mjusi SharobaloTuma salamu kwa watu watatu.....
Huyo huoni kapewa na stahiki yake ya mwezi tarehe za vichaa hizi mkuu!Si unaona wewe ndio hutaki vijana wanapambana sana na wewe huwataki
Umri huo hakuna mwenye kisukariNatafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
Alikunyoosha ukome na kukoma mpuuzi ww😂Sikumaliza na nani na wewe au na yule shoga yako?
Nishavuka Mungu ni mwema shkamoo hazikosekani, naomba nijiue sasa🙆🏽♀️Sina maana hiyo, lakini legeza kamba, umri unaenda sasa. Mwishowe utafika umri wa umshangazi na utavuka hata level ya umshangazi, shikamoo zitakuwa nyingi.
Hapana msifike huku kijana anapaswa kuskilizwa! Ana hojaHuyo huoni kapewa na stahiki yake ya mwezi tarehe za vichaa hizi mkuu!
We unajua kwanini kapewa ban?Hapana msifike huku kijana anapaswa kuskilizwa! Ana hoja
Usijiue, nitakutafutia mstaafu mmoja, siyo mbaya, ili upate joto la mzee! 😂Nishavuka Mungu ni mwema shkamoo hazikosekani, naomba nijiue sasa🙆🏽♀️
Kuna sehemu nimekuta anatukana nakamripot 😏We unajua kwanini kapewa ban?
Sawa nipe namba zake nimpigie muda huu nijifariji!Usijiue, nitakutafutia mstaafu mmoja, siyo mbaya, ili upate joto la mzee! 😂
Wametukanana usiku kucha kwa kifupiKuna sehemu nimekuta anatukana nakamripot 😏
Usiwe na haraka sasa nataka nikupe ambae anasubri kuingiziwa milion kadhaa uwe mpanga bajetiSawa nipe namba zake nimpigie muda huu nijifariji!
Asee basi uepukane na hii ndoa itakutoa manunduWametukanana usiku kucha kwa kifupi
Nan na nan?Asee basi uepukane na hii ndoa itakutoa manundu
Naam shem!Nan na nan?
Hiyo ni hatari sasa wote mkizimia ndani nani atamsaidia mwenzake?Naamini tutaimba wimbo mmoja kwa beat yenye mdundo mmoja.
Nimekuuliza au nimekuita!?Naam shem!
Muulize sisterNimekuuliza au nimekuita!?
eka mae...... Ndrrrrrroo hivyo mamaaaaangu