Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Mleta mada kila la heri kwenye kusudio lako,ila mimi nakuengezea kitu!

Ni vyema ukimpata huyo mwenye kisukari awe mjane aliyekwisha fiwa na mume ukiokota dungayembe lolote alimradi lina kisukari utangʼata shuka siku si zako.
 
Kisukari kipi cha kupanda au cha kushuka?
 
Nimekaza wapi mkuu hawanitaki si unaelewa sura za baba tena😒
Sasa hivi vijana hatutafuti tu sura nzuri au Pisi Kali, tunatafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa mke na kujenga naye maisha. Pisi Kali ni starehe za ujana, lakini ndoa inahitaji zaidi ya uzuri wa nje. Inahitaji upendo, heshima, uelewa na maadili. Ila wewe inaonekana una vigezo vingi sana! 😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom