Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
1. Hii kazi mshahara 250k ila take home 200k baada ya makato.

2. Muda wa kuingia kazini ni saa 10 usiku na kutoka saa 6 usiku na hakuna overtime

3. Muda wa mapumziko ni saa 7 mchana hadi 8 baada ya hapo mnarudi kiwandani kupiga mpaka saa 6 usiku ndo mnaruhusiwa kutoka.

4. Hakuna allowance yeyote ile kama chakula, usafiri, kodi.

5. Siku za kazi ni kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Hakuna kupumzika.

Upande wangu nimechemka, nimeshaongea na boss kaniambia nitafute mtu sasa anayeweza ajitokeze, kuhusu kazi ipo Dar es salaam ni kiwandani kwa mchina.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom