Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

Status
Not open for further replies.

Lacred

Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
17
Reaction score
23
Habari wanajamii,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu mimi:
Urefu: sentimita 185

Muonekano: Mwembamba, mweusi
Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku nzima, napenda muda mwingi wa utulivu nyumbani.
Ninatafuta mwanamke mwenye nia ya dhati ya kujenga familia na kufunga ndoa mwenye sifa zifuatazo:
Umri: miaka 22 hadi 30
Dini: Mkristo

Asiwe na mtoto
Elimu: angalau Form Six na kuendelea

Makazi: awe mkazi wa Moshi, Kilimanjaro au kama siyo Mkazi basi awe tayari kuja kuishi Moshi.
Mwonekano: asiwe mnene sana wala mwembamba sana
Kabila: lolote linakaribishwa
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali nitumie PM hapa au email:
lacredlacredsr@gmail.com
Asanteni sana wanajamii kwa muda wenu.
 
Muwe mnajichanganya basi kwenye harusi, misiba na visherehe vya hapa na pale hata kama having umuhimu utapata za kuchakata ukinogowe na ukakubali madhaifu yake utaweka ndani mwenyewe, Pia usisahau bar pitia huko sio wote ni wauzaji wengine ni wapweke tu kama wewe
 
All the best bro but uwe tayari ku share shimo na wanaume wengne coz the only shimo aman enters himself ni kaburi tu.
 
Ni asili ya kiume kuchombeza na kutongoza ili kuonesha uanamume wako.

Mkuu nenda kwa ground tongoza we,kama mimi navyofanya napima yule atafit vigezo vyangu japo 8/10 nioe.

Hii maswala ya kutafuta wapenzi uku social medis mtakuja kulia oooh shauri yenu
 
wife material wengi ambao nawajua, hawatumii sana mitandao ya kijamii hata ukimkita anatumia utamkuta huko tiktok ana account tu ya kuangalia vitu na hapost wala ku coment. na wengine utawakuta hawana hata simu kubwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom