Natafuta marafiki Arusha

Nimekuwa naipitia thread yako kuangalia vijana wangu wanavyokukaribisha nimefurahi walivyokuonesha ukarimu.
Mimi ndio kitovu cha mapenzi kwa wana jf wote wa hapa Arusha. Ukiwasiliana na mimi utapata mapenzi na urafiki utakaokufanya ufurahie uwepo wako hapa Arusha. Ni PM nikupatie mawasiliano yangu ili uanze kupata raha za jiji!. Karibu sana mpz!
 
Kama wewe ni mpenzi wa Bia basi utakua rafiki yangu mkubwa! karibu sana Arusha mji wa Asali na Maziwa naomba uniPM ujue ni maeneo gani hapa A-Town napatikana
 
TANGAZO: Wanajf wa arusha wote tukutane leo kuanzia saa moja pale BABYLON CLUB kwa mazungumzo mafupi bila kukosa. Ukifika ulizia Tina atkupa bia yako moja na kukuelekeza pa kukaa, karibuni sana
 
Nakutakia maisha mapya ndani ya A town. Ni matumaini wana wa Arusha watakupokea vizuri.
 
hao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie
 
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie

Hivi ulifika salama!? Nimefurahi sana kukutana na ww. U r so charming, friendly and "attractive". I hope we'll always be 2gether. Kuhusu kuwaona wengine, usitie shaka. Ukishaniona mimi, wengine utawaona tu!
 
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie
Karibu sana Nwaigwe!
Nafurahi kuwa japo nilipata nafasi ya kusikia sauti yako kwa simu...
Arusha tuko friendly zaidi na utafurahi!

Hivi ulifika salama!? Nimefurahi sana kukutana na ww. U r so charming, friendly and "attractive". I hope we'll always be 2gether. Kuhusu kuwaona wengine, usitie shaka. Ukishaniona mimi, wengine utawaona tu!
Mkuu,
Unaaminika sana na wanajamvi!
Ulifanya kazi njema sana jana ya kuwa na mgeni wetu muda wote wengine tukiwa na majukumu mengine!
Ni mwanzo mzuri, tunaamini tutaonana nae siku yetu ile!
Thanks again!
 
Watu si tayari mmshajikombea!!Bado unawahitaji maana tuko kama kontena tatu hapa!wote ni wa Arusha!
 
Nahamu ya kukuona Preta! Nashukuru leo nimeanza kwa kuwaona filipo na Igwe..naamini nitawaona na nyie

usijali dear....nipo safarini Kericho....nikirudi pasi na shaka tutaonana.....karibu sana....nilipata habari za uwepo wako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom