Natafuta marafiki Arusha

Nwaigwe

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
1,053
913
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.
 
Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
 
me nipo mianzini karibu sana a cty kwani we upo maeneo gani
 
Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!

hao waliotajwa pia ni wachache.....tupo lundo la kutosha....achague yoyote kati ya hao amPM....atampa maelezo yote.....karibu sana
 
Hao ni chamtoto mwanangu! Tupo fluu na tuna upendo utafikiri tumezaliwa wote mama mmoja baba mmoja. Kama vipi karibu (PM) UKO HURU BEST.
 
Karibu sana....mzee wa Rula, Pakajimmy, Igwe, Sahara voice, Loner, preta, voice of reason, baba ubaya tumekupokea...weekend inayokuja tegemea mtoko kutoka kwa those frez!
Duuuuh mkuu umeadimika vibaya mno, poa mgeni keshafika nadhani tutamfatuta ili alijue jiji.
 
Hao ni chamtoto mwanangu! Tupo fluu na tuna upendo utafikiri tumezaliwa wote mama mmoja baba mmoja. Kama vipi karibu (PM) UKO HURU BEST.
Arusha one vibaya hivyo kumbe siku zote upo hapa hatujuani jamani! Mmmmmh haya na wewe karibu umoja w JF Arusha huko ndiko mambo iliko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom