Natafuta marafiki Arusha

usijali dear....nipo safarini Kericho....nikirudi pasi na shaka tutaonana.....karibu sana....nilipata habari za uwepo wako....
Ukumbuke kuja na zawadi_maake wewe nawe...mmmmh!...by the way take care na ma_al shaaabab da Preta_right.
 
hayaa arushaaa,mgeniii huyoo mpelekeniii arusha night park?...arusha park[grave yard}...babylone,la fiesta,kwa kan kulaa kukuu,mtembezenii mgenii,hivi huo umojaa wa arusha mnakutanagaa wapiii?hayaa nwaigweee karibu arushaaa[arachugaaaa].si tupooo
 
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.

Karibu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???
 
Karibu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???
aiseeee!...tunakoelekea tutaanza kuulizana hata rangi zetu_kama wewe mweusi ama mweupe,....anyway Mungu atunusuru na dhambi hii
 
aiseeee!...tunakoelekea tutaanza kuulizana hata rangi zetu_kama wewe mweusi ama mweupe,....anyway Mungu atunusuru na dhambi hii

Well said mkuu, tanzania haina udini wala ukabila wala uchama, wanapokutana wawili watatu wote ni wammoja.
 
Karibu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???

Hv na wewe ngurati hapa A town unakuwaga anga ipi? Maana nashangaa baadhi wana JF wenye maoni nzuri tena mnadiriki kuishia kwenye mtandao tu kama vp niPM tujaji mengine mengi ktk ujenzi wa Taifa le2! Karibu Kamanda!
 
Ni kweli mkuu wamesahau JF is beyond keyboards............ mzima lakini kaka?
 
Da nimeipenda jf. Mi nakukaribisha karatu, unaweza kuja wkend tukaenda hata crater ya ngoro*2 kukuonesha moja ya urithi wtu welcome u welcome all.
 
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.

Dah! Nimechelewa sana! Anyway hakijaharibika kitu, Nwaigwe karibu sana Arusha. Siku za Weekend napatikana maeneo ya Lenana Resort, ukini kosa hapo karibu na Lenana kuna baa mpya imeanzishwa hapo jina bado sijalinyaka. Ni PM nikutumie contact zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom