Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,949
- 23,234
Shamba lipo wapi, nna kijana hapa.Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
Shamba lipo wapi, nna kijana hapa.Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
JiandaeHawa watu naona wamezoea kilimo na mkikubaliana mmemaliza hana mbamba
Kweli?100,000÷30=(3500)?Laki kwa siku 30 ni sawa na tshs 3500. 🤔🤔🤔
Nimepiga kadirio la juu kiongoz. Nimesikitika sana.Kweli?100,000÷30=(3500)?
Lakini, 3500×30=105,000/=
Halafu 100,000÷30=3,300/=
OkNi Mpangwa...
Kila la kheri
Mshahara laki 1???Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
NdioMshahara laki 1???
Laki ni hela nzuri ukiwa unajitafuta.Yaani napitia coment ili nihesabu makapuku nashangaa na wenyewe hawataki kujidhihirisha!
Wanachungulia wanatoka, jamii forum kila mtu tajiri.
Kula kulala kwa Boss hapo ni kama 300kLaki kwa siku 30 ni sawa na tshs 3500. 🤔🤔🤔
Laki kwa siku au....Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
Au cyoLaki kwa siku au....
Kuwa straight mkuu
HaswaaKula kulala kwa Boss hapo ni kama 300k