Nahitaji kijana mwenye damu ya upambanaji na uchu wa mafanikio kwa ajili ya uangalizi wa shamba

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Habari, Mimi ni kijana mpambanaji
Nahitaji kijana ambae ataweza kukaa shambani kwa ajili ya uangalizi wa shamba na mifugo jamii ya ndege kama kuku ,bata na kanga,
Shamba lina nyumba ina solar power
Kuna mabanda ya kuku

Mazao ambayo yapo tayari ni machungwa
Lina ukubwa wa ekari tano
Na pia kuna eneo kwa ajili ya kilimo cha mahindi, mboga mboga
Na pia kuna miche ya michungwa

MAJUKUMU YA KIJANA

Kuangalia ulinzi wa mali ambazo zipo shambani
Kusimamia vibarua ambao wanakuja kwa muda wa msimu wa kilimo na kuondoka
Kuangalia na kuhudumia miche ya limao na michungwa

SIFA ZA KIJANA
Hatuhitaji kijana ambae ana taaluma ya chuoni, kwani hakuna uwezo wa kulipa professional
Umri kuanzia miaka 20 ‐ 35
Jinsia ya kiume
Muaminifu

Motisha kijana
Kijana kama hana mke atatafutiwa mke na kufungishwa ndoa kwa Gharama yangu ili akae nae shambani
atafungiwa king'amuzi akipendacho kati ya Azam au StarTimes na malipo ya kila mwezi kwa kifurushi cha cha kati yaani kama ni Azam 25000 kama ni StarTimes 23000
Matibabu yeye na familia yake kwa magonjwa yasio sugu
Chakula ni kwa mwaka mzima na cha kushiba
Kabla ya kuja Eneo la kazi atatembelewa kwenye familia yake kwa ajili ya kufahamiana Zaidi na pia tutamchukua ndugu yake mmoja aje apafahamu anapokaa ndugu yake

MALIPO
Hakuna malipo ya mwezi bali atapata 10% ya kila kitu ambacho kitauzwa

LOCATION
MUHEZA TANGA

kama atatokea maeneo ya jirani itakua bora Zaidi

Asanteni
 
Ukipata wa ziada kwa sifa hizo hizo naomba unisaidie. Na mimi nahitaji kwa location hiyo hiyo.
 
fursa nzuri sana hii
 
UNAZALISHA NINI NA SOKO LAKE LIKOJE..JE KUNA KILIMO CHA UMWAGILIAJI NA KM IPO UNATUMIA NN.WW UKO WAPI?VP HUKO MUHEZA HAWAPO?VP KM ATATOKEA MAENEO KM HANDENI?
Kwa sasa kwa upande wa mazao ni machungwa ,miche ya limao na machungwa ,mahindi na mboga mboga na soko lake ni uhakika 100% ila kuna mabanda ya kuku ambayo pindi akipatikana kijana yataanza kufanya kazi
Hakuna kilimo cha umwagiliaji
 
Back
Top Bottom