Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
- Thread starter
- #101
Nimegundua mkuuhumu kuna wapumbavu wengi mkuu, usishughlike nao
uwezo wa kuchanganganua mambo ni mdogo mno
Nimegundua mkuuhumu kuna wapumbavu wengi mkuu, usishughlike nao
uwezo wa kuchanganganua mambo ni mdogo mno
Hii laki ya mwezi au mwakaWakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba la miparachichi
Shughuli zenyewe ni kama ifuatavyo
1.Kutunza miti ya parachichi ikiwemo kupalilia,kumwagilia panapobidi na kuwekea mbolea
2.Kuchimba mashimo ya kupanda miche mipya (kwa msimu wa mvua )
3.Kupanda miche mipya na kuihudumia
4.kusadia kuvuna maparachichi msimu wa mavuno
Nb:
🚷Miaka zaid ya 40 (hapana wasije wakanifia shambani)
🚷Mtu anaetaka kurudi nyumbani mara kwa mara(Hapana)
🚷Ambae si mzoefu na kilimo (Hapana)
🚷Wanaume wa dar,pwani,zanzibar au visiwani (hapana)
🚷Watoto hapana
MwezHii laki ya mwezi au mwaka
OKayMwez
Mbona Njombe pia vijana wanapiga sana kazi? Ama kwa vile wao wanademand 7,000 kwa siku?Njombe
SijuiMbona Njombe pia vijana wanapiga sana kazi? Ama kwa vile wao wanademand 7,000 kwa siku?
😆😆😆mlikuwa mnamlalamikia mkoloni mweupe. aliondoka kitambo. sasa tuna wakoloni weusi ndo hawa hapa.Hii laki ya mwezi au mwaka
We mpumbavu kabisa unaeleww maana ya mkoloni??😆😆😆mlikuwa mnamlalamikia mkoloni mweupe. aliondoka kitambo. sasa tuna wakoloni weusi ndo hawa hapa.
Si lazimaNa awe single
Watu lama nyinyi msije tia laaana mazao yangu yakawa hayaoti wala kustawiKwani mie nimesema nataka nikuletee kijana unaye muhitaji? Kwan wee unataka mtu wa kufanya kazi utakayo? Au sexual orientation yake?
Uko timamu wee? Mxxxiiiieeew
Poleee sanaa.Watu lama nyinyi msije tia laaana mazao yangu yakawa hayaoti wala kustawi
ndoivo mkuu. tukisema hili ni koloni jeusi mtuelewe wakuuNa awe single
machame moja iyo😆Mchaga duh
tha bothi uache mituthi iyo bathi uongezepo mkwanja uo kidogo bathi hata laki 3 bathiWe mpumbavu kabisa unaeleww maana ya mkoloni??
😀😀😀tha bothi uache mituthi iyo bathi uongezepo mkwanja uo kidogo bathi hata laki 3 bathi