Natafuta kijana wa shamba, mshahara laki

Natafuta kijana wa shamba, mshahara laki

Wasukuma ndio wanaotumikisha watu mashambani nenda bonde la usangu vibarua wengi ni Wahehe,Wabena,Wasangu na Wasafwa wamefugwa na Wasukuma kiasi cha kusahau Lugha zao za asili unamkumbuka Masanja Mkandamizaji amekulia kwenye mazingira ya usukuma kule Mbarali ?
Hahahaa kumbe
 
Hiyo laki hata mchango wa harusi haitoshi.
Fanya mwenyewe kazi ukanywe bia hiyo Kwanza haitoshi.
 
Back
Top Bottom