Natafuta kijana wa shamba, mshahara laki

Natafuta kijana wa shamba, mshahara laki

Planet Data bundles
Miaka ya sasa ni hivi mshahara kama huo lazima ale ,anywe , je umuwekea bima ya afya , ujue kazi ya shamba , inahitajika uvumilivu na umakini . Hela ni ndogo , sana . Kama hakuna bima ya afya maana kuna allergies , kuumwa na magonjwa ya baridi, magonjwa ya kawaida , hii ni lazima apate ajikate labda , yaani kwa maisha ya sasa laki ni ndogo , .. may be laki nanusu . Usichague kabila weka tu wenye uwitaji
 
MIMI MGENI JAMII FORUMS, ivi nawezaje kuchati na mtu PM
Una click jina la muhusika kisha unaenda mahali palipo andikwa start conversation ukiingia hapo unaandika kitu chocho pale juu pameandikwa title unaweza andika habar mkuu au vyovyote kisa nenda sehemu ya massage tiririka
 
MIMI MGENI JAMII FORUMS, ivi nawezaje kuchati na mtu PM
Mkuu naona we kweli upo serious, ume jiunge jumapili leo umeona fursa na ujataka kushangaa, maana humu kuna maskini wanaigiza uboss! lakini wewe ni mfano wa wanaume anatakiwa kuwa, ila mukikubaliana ukaanza kazi kwa huyo tajiri malipo yako akupe sebuleni, akikuita chumbani usiende.
 
Back
Top Bottom