kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,340
- 9,659
Hata kama anakula na kulala hapo aisee ukifikir vizur ni kuwa anaenda kuwa mfanyakaz wa kuduumu kama wale waswahili kwa wahind mpaka wanazeeka hawana kituKula asubuh mchana na jioni=?
Hata kama anakula na kulala hapo aisee ukifikir vizur ni kuwa anaenda kuwa mfanyakaz wa kuduumu kama wale waswahili kwa wahind mpaka wanazeeka hawana kituKula asubuh mchana na jioni=?
Hiyo point mkuu...ila siyo kila shida ya mtu inahitaji kutumia viungo vya mwili kutatua nyingine mpak mtajiHujaamua tu kujiongeza hakuna nchi rahc kutoka kama bongo. Ujue tu kufungua code. Tatu shida za watu utaziona hela.
Mshahara wa laki katafute ndugu zako waje wakulimieWakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
Huwez kuanza kwa kutembea jifunze kutambaa kwanza, maisha ni mipango, dhamira na kujituma displin na hofu ya Mungu kwako.Hiyo point mkuu...ila siyo kila shida ya mtu inahitaji kutumia viungo vya mwili kutatua nyingine mpak mtaji
Unafikiri tofauti na mtoa ajira.Hata kama anakula na kulala hapo aisee ukifikir vizur ni kuwa anaenda kuwa mfanyakaz wa kuduumu kama wale waswahili kwa wahind mpaka wanazeeka hawana kitu
Point Kal kiongozi ila huko kujifunza lazma upitie kwenye harakati kama hizi ili upate kilichoboraHuwez kuanza kwa kutembea jifunze kutambaa kwanza, maisha ni mipango, dhamira na kujituma displin na hofu ya Mungu kwako.
Nasikia ati ni Mbena yuleWasukuma ndio wanaotumikisha watu mashambani nenda bonde la usangu vibarua wengi ni Wahehe,Wabena,Wasangu na Wasafwa wamefugwa na Wasukuma kiasi cha kusahau Lugha zao za asili unamkumbuka Masanja Mkandamizaji amekulia kwenye mazingira ya usukuma kule Mbarali ?
Kwanini wawe wasukuma kama yupo mchaga?Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba
Kuna mchaga anaweza kulima??Kwanini wawe wasukuma kama yupo mchaga?
Haja ipo tunga uzi wako ondoa kabila!Hakukua na haja ya kutaja kabila mkuu
Nimeshtuka mi nilijuaga msukumaNasikia ati ni Mbena yule
Sasa mbona unapaniki?Haja ipo tunga uzi wako ondoa kabila!
Tusipangiane
Hakika kabisaKama chakula na malazi ni juu yako hiyo ni nzuri utampata kijana
Kajibandika jina tu nasikia ni Mgaya kwao ubenani hukoNimeshtuka mi nilijuaga msukuma
Ni Mpangwa...Nasikia ati ni Mbena yule